††† Isaya sura ya kwanza hadi ya saba (1 - 7) rejea zingine.



Rejea kuhusu wafalme waliotawala kipindi cha Isaya.


1Nyakati 3:12-14. 
Amazia->Uzia->Yothamu->Ahazi->Hezekia->
Hezekia->Manase->Amoni->Yosia.

Wafalme 
anza
mama
Jumla/
maliza.
Amazia<=



Uzia.

2Wafalme 
15:1,2.
16  

/27
Yerobomu
Yekolia
(waYerusal
emu)
52

->ukoma
:5
Yotham.
2Wafalme 
15:32,33.
25  
/2Peka

Yerusha
(B-Sadoki).
16

Ahazi.

2Waflme 
16:1,2
20  

/17Peka


16
Hezekia.
18:1,2.
25
/3Hoshea
Abiya
(B-Zekaria)
29
Manase.
21:1,2.
12 
Hefziba
55
=>Amoni.



==>Yosia.





Wafalme 
Makosa.
Jema.
Amazia<=


Uzia.

2Wafalme 
15:1,2.
Mahali pa juu 
hapakuondolewa.:4.

Yotham.
2Wafalme 
15:32,33.
Mahali pa juu 
hapakuondolewa.:35.
Alilijenga 
lango la juu 
la nyumba 
ya 
BWANA.:35.

Ahazi.

2Waflme 
16:1,2
.1. Mhali pa juu 
hapakuondolewa.:3
.2. Kupitisha 
mwanae 
motoni:3.
.3. Sadaka mhali pa 
juu, juu vilimani na 
chini ya mti mbichi:4.

Hezekia.
18:1,2.

 †††Hez
Manase.
21:1,2.

Isaya akafa umri ….?

=>Amoni.


==>Yosia.


†††Hez (2Wafalme 16)
.1. Alipaondoa mahali pa juu.
.2. Alizibomoa nguzo akaikata Ashera (nyoka ya 
 shaba aliyoifanya Musa) na kuivunja vipande 
 vipande akaaita Nehushtani.:4.

.3. Alishikamana na BWANA na kumfuata katika 
  amri:6.

.4. Alimwasi mfalme wa Ashuru. 4Hez/7Hos 
 Shalmanesa(wAshuru) aliuhusuru hadi 
 6Hez/9Hos Samaria ikatwaliwa wakahamishwa 
 katika Hala na Habori karibu na mto Gozani 
 katika mji wa Wamedi:- kwasababu hawakutii 
 saudi ya BWANA bali waliyahalifu maagano:12.

.5. Aliwapiga gaza tangu mnara wa walinzi hadi mji 
  wenye boma.




Wafalme 
Yuda
Israeli.
Amazia<=

Uzia.

2Wafalme 15:1,2.
38/1Zekaria (wYeroboamu)
39/1Shalumu
(wYabeshi).
39/1Manahemu (wGadi).
50/1Pekahia (wManehamu).
52/1Peka(wRemalia)
Yotham.
2Wafalme 15:32,33.
1/2Peka(wRemalia)
20/1Hosea(wEla):30*

Ahazi.

2Waflme 16:1,2
1/17Peka(wRemalia)

12/1Hosea(wEla)
Hezekia.
18:1,2.
3Hoshea(wEla)
Manase.
21:1,2.

=>Amoni.

==>Yosia.







Upekee wa Mungu /Sifa zake MUNGU.


Sifa/Upekee wa Mungu. Isaya 1-7.
1
Juu  mlimani (nyumbani)
2:3.
2
Mungu wa Yakobo.
2:3.
3
Mwalimu wa njia zake.
2:3.
4
Mwenye nuru.
2:5.
5
Mwenye shamba 
analolihudumia vizuri na 
mche.
5:1.
6
Bwana wa majeshi.
1:9,24. 
2:12. 3:1,15.
 5:79,16,24.
6:3,5.
7
Mtakatifu:-


Mungu aliye Mtakatifu.
5:16
Mtakatifu wa Israeli.
1,4,5:19,24.
Mtakatifu Mtakatifu 
Mtakatifu.
6:3.



8
Dunia imejaa utukufu 
wake.
6:3.
9
Sauti yake inatetemesha.
6:3.
10
Mfalme.
6:5.
11
Hutoa ishara.
7:14.



12
Mwenye Uwezo:- 


Juu ya utawala ulipo na 
ujao.
7:14.
Juu ya maadui.
7:7.
Juu ya hali ya hewa
5:6
Juu ya roho za watu.
5:26.



13
Huuliza huulizwa hujibu 
hujibiwa†††

14
Hutuwazia mema.
5:7
15
Mwenye fahamu:-†††


Juu ya yale yaliyopita.

Juu ya yale yaliyopo.
7:8.
Juu ya yale yajayo.
7:8,14



16
Mwenye maagizo.
6:8, 7:3.



17
Mwenye enzi:-


Bwana mwenye enzi.
1:24.
Mwenye utukufu wa enzi.
2:10,19,21.
Huketi katika kiti (chake) 
cha enzi.
6:1.
Alikuwepo yupo na 
atakuwepo.†††

18
Huzungumza/husema 
kuhusu:-†††


Mambo yaliyopita

Mambo yaliyopo

Mambo yajayo.


Comments